Richard spencer
JF-Expert Member
- Feb 22, 2021
- 1,225
- 1,993
Mbona Musonda humtaji? Mzize bado anahitaji muda, akivumiliwa baadae unaweza shangaa akatubeba kama alivyokuwa Simon Msuva.Usijiongopee mkuu, timu ya mataji inatakiwa iwe na watu yani kwenye namba inatakiwa wawe wawili wawili wenye uwezo unaolingana na sio anaumia Mayele alafu nje back up yake Mzize ni uongo huo, Mzize mzr ila bado anajifunza, na ilipofika Yanga kwa sasa inahitaji kuwe na watu mana tumeonesha ubabe msimu huu msimu ujao tutakamiwa sana, hizo nafasi ulizosema zizibwe na fowadi pia ya kiwango iongezwe, kama man city vilee..
Man city pale Haaland kamuacha mbali Alvarez.