Kuna rfk yangu ni mwana Yanga mbobevu..sasa ananisumbua sana kuniambia pole mara nina hali ngumu mara apige simu usiku nashtuka nadhani kuna tatizo ananiambia ni mambo yetu ya Yanga tuu nilitaka kukwambia..mimi jamani sina hali ngumu wala siteseki kihiiiiiivyoooooo....yani kawaida tuu...ILa tuache utani Kalpana wallah mmna hali ngumu sana na midomo yetu wana YANGA..!!
Simba aliwakanda bao mbili msijisahaulisheSisi tunahangaika na usajili wenyewe wapo Tanga kutafuta mapaka mweusi. Tukizifunga timu oooh, ooh mbovu mara dhaifu. Muda wa usajili ni sasa nyiye Makolo
[emoji38][emoji38][emoji38]Bora uyu kuliko ostadh mzize, yule ni bure kabsa tuwape simba bure kama zawadi
Yanga sasa tuache sifa, hawa makolo wataumia moyo hadi waseme sasa basi. akija yule mpiga vichwa, akakaa pale mbele na dogo clement mzizye, wakapata viasist viwili vitatu toka kwa max nzengeli na aziz ki, mbona wanaweza kufunga mtu hata kumi bila?RANGA CHIVAVIRO YEYE NI YANGA TU!!
"Ni kweli tunaendelea na mazungumzo na Yanga juu ya Uhamisho wa Ranga Chivaviro, mchezaji aliyefanya Vizuri kwenye michuano ya CAF ni wazi hawezi kukubali kubakia ikiwa timu imeshuka daraja, tunaipa kipaumbele timu inayocheza michuano ya CAF, tumepokea Ofa kutoka Yanga na Azam FC na bado hutujafikia makubaliano"
"Ofa Yanga ni Nzuri na Rais Hersi Saidi ametupa Ofa nzuri na ni furaha kwa Ranga kuja Tanzania na Hersi Said atakuja hapa siku chache kumalizia makubaliano natumai Oscar tutaonana siku chache zijazo Tanzania"
HERVE TRA BI, Mkurugenzi wa TNB Sports Agency Management ambayo inamsimamia Mshambuliaji Ranga Chivaviro wa Marumo Galants
Sifa za ziada
Chivaviro = baleke + Phil+ robertinho + mudi..
Source: FutbalPlanetUpdates
Hii kweli mkuu!?Sasa rasmi Chiva ame sign Yanga jana......tumemalizana na Kaiser chiefs..
Kweli mkuu Eng Hersi yuko huko .....check insta Kibwana Shomari au HersiHii kweli mkuu!?
Ni kweli jana Eng alikuwa na wazee wa Kaizerchief bila shakaambo yatakwenda sawaHii kweli mkuu!?
yanga kwa sasa inaogopwa sana barani afrika. na wanastahili heshima yao.Kuna yule Elie Mpanzu Kibisawala nae vipi nasikia Yanga inamtaka
Jamaa (GSM) kupitia Eng ,Wamejipanga hata kabla ya kuingia Yangayanga kwa sasa inaogopwa sana barani afrika. na wanastahili heshima yao.
mwaka huu na ujao wa kwetu. tutapiga watu hadi walie machozi yote.Jamaa (GSM) kupitia Eng ,Wamejipanga hata kabla ya kuingia Yanga
Yanga ukiaacha scouting team yao kuwa nzuri, pia watakua wameingia ktk connection na agency sports nzurimwaka huu na ujao wa kwetu. tutapiga watu hadi walie machozi yote.