Ranga Chivaviro yeye ni Yanga tu

Ranga Chivaviro yeye ni Yanga tu

ILa tuache utani Kalpana wallah mmna hali ngumu sana na midomo yetu wana YANGA..!!
Kuna rfk yangu ni mwana Yanga mbobevu..sasa ananisumbua sana kuniambia pole mara nina hali ngumu mara apige simu usiku nashtuka nadhani kuna tatizo ananiambia ni mambo yetu ya Yanga tuu nilitaka kukwambia..mimi jamani sina hali ngumu wala siteseki kihiiiiiivyoooooo....yani kawaida tuu...
 
Sisi tunahangaika na usajili wenyewe wapo Tanga kutafuta mapaka mweusi. Tukizifunga timu oooh, ooh mbovu mara dhaifu. Muda wa usajili ni sasa nyiye Makolo
Simba aliwakanda bao mbili msijisahaulishe
 
Huyu jamaa ni mshambuliaji aina ya Nicklas Bendtner wa kawaida sana mtakuja kujuta ni mzito mno hata hizo goli sijui alifikishaje huko confederation!!!
Jamaa ni energetic sana
 
RANGA CHIVAVIRO YEYE NI YANGA TU!!

"Ni kweli tunaendelea na mazungumzo na Yanga juu ya Uhamisho wa Ranga Chivaviro, mchezaji aliyefanya Vizuri kwenye michuano ya CAF ni wazi hawezi kukubali kubakia ikiwa timu imeshuka daraja, tunaipa kipaumbele timu inayocheza michuano ya CAF, tumepokea Ofa kutoka Yanga na Azam FC na bado hutujafikia makubaliano"

"Ofa Yanga ni Nzuri na Rais Hersi Saidi ametupa Ofa nzuri na ni furaha kwa Ranga kuja Tanzania na Hersi Said atakuja hapa siku chache kumalizia makubaliano natumai Oscar tutaonana siku chache zijazo Tanzania"

HERVE TRA BI, Mkurugenzi wa TNB Sports Agency Management ambayo inamsimamia Mshambuliaji Ranga Chivaviro wa Marumo Galants

Sifa za ziada

Chivaviro = baleke + Phil+ robertinho + mudi..
Source: FutbalPlanetUpdates
Yanga sasa tuache sifa, hawa makolo wataumia moyo hadi waseme sasa basi. akija yule mpiga vichwa, akakaa pale mbele na dogo clement mzizye, wakapata viasist viwili vitatu toka kwa max nzengeli na aziz ki, mbona wanaweza kufunga mtu hata kumi bila?
 
Ndio hiki Chuma?

20231111_160301.jpg
 
Back
Top Bottom