Ranga Chivaviro yeye ni Yanga tu

Vipi amekuja?
 
Nikimkataa huko huko YouTube.
Itakua hukuziona zile clips alizokua anatupia.
Mpira ukija mguuni imo kichwani twende, nikajua mbadala wa MAYELE ameshapatikana.
Naamini HAFIZ KONKONI na MAMADOU DOUMBIA hawakua wachezaji wabaya, itakua kunakitu tu kimewaathiri walivyotua nchini.

YANGA ingekua inajiweza vilivyo kiuchumi wangewatoa kwa mkopo hata kwa miezi sita wakapate kujiamini huko halafu warudi wakiwa fit kuliko kuvunja mikataba.
 
Nadhani wazo lako wameshalifanyia kazi
 
Konkoni hakuna kitu pale wananchi tumepigwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…