Ranga Chivaviro yeye ni Yanga tu

Ranga Chivaviro yeye ni Yanga tu

RANGA CHIVAVIRO YEYE NI YANGA TU!!

"Ni kweli tunaendelea na mazungumzo na Yanga juu ya Uhamisho wa Ranga Chivaviro, mchezaji aliyefanya Vizuri kwenye michuano ya CAF ni wazi hawezi kukubali kubakia ikiwa timu imeshuka daraja, tunaipa kipaumbele timu inayocheza michuano ya CAF, tumepokea Ofa kutoka Yanga na Azam FC na bado hutujafikia makubaliano"

"Ofa Yanga ni Nzuri na Rais Hersi Saidi ametupa Ofa nzuri na ni furaha kwa Ranga kuja Tanzania na Hersi Said atakuja hapa siku chache kumalizia makubaliano natumai Oscar tutaonana siku chache zijazo Tanzania"

HERVE TRA BI, Mkurugenzi wa TNB Sports Agency Management ambayo inamsimamia Mshambuliaji Ranga Chivaviro wa Marumo Galants

Sifa za ziada

Chivaviro = baleke + Phil+ robertinho + mudi..
Source: FutbalPlanetUpdates
Vipi amekuja?
 
Nikimkataa huko huko YouTube.
Itakua hukuziona zile clips alizokua anatupia.
Mpira ukija mguuni imo kichwani twende, nikajua mbadala wa MAYELE ameshapatikana.
Naamini HAFIZ KONKONI na MAMADOU DOUMBIA hawakua wachezaji wabaya, itakua kunakitu tu kimewaathiri walivyotua nchini.

YANGA ingekua inajiweza vilivyo kiuchumi wangewatoa kwa mkopo hata kwa miezi sita wakapate kujiamini huko halafu warudi wakiwa fit kuliko kuvunja mikataba.
 
Itakua hukuziona zile clips alizokua anatupia.
Mpira ukija mguuni imo kichwani twende, nikajua mbadala wa MAYELE ameshapatikana.
Naamini FAFIZ KONKONI na MAMADOU DOUMBIA hawakua wachezaji wabaya, itakua kunakitu tu kimewaathiri walivyotua nchini.
YANGA ingekua inajiweza vilivyo kiuchumi wangewatioa kwa mkopo hata kwa miezi sita wakapate kujiamini huko halafu warudi wakiwa fit kuliko kuvunja mikataba.
Nadhani wazo lako wameshalifanyia kazi
 
Konkoni hakuna kitu pale wananchi tumepigwa
 
Back
Top Bottom