Satirical Yet Awesome JF-Expert Member Joined Oct 11, 2023 Posts 629 Reaction score 1,688 Oct 7, 2024 #101 finyango said: Mirange yote ya kizamani Click to expand... We unayo?
Down To Earth JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 21,940 Reaction score 16,643 Oct 7, 2024 #102 mswaki mbuyu said: Hakuna na wala hatotokea sio shekhe tuu hakuna mwanadamu ataye mmiliki Jini weeh kaa usikilize story za vijiweni Click to expand... duh kumbe we jamaa una elimu ndogo sana. kamsome mfalme sulemani utajua alimiliki majini na aliyafanyisha kazi zake naishia hapa kubishana na wewe, naona unafaa kuishia jukwaa jepesi la Chit Chat
mswaki mbuyu said: Hakuna na wala hatotokea sio shekhe tuu hakuna mwanadamu ataye mmiliki Jini weeh kaa usikilize story za vijiweni Click to expand... duh kumbe we jamaa una elimu ndogo sana. kamsome mfalme sulemani utajua alimiliki majini na aliyafanyisha kazi zake naishia hapa kubishana na wewe, naona unafaa kuishia jukwaa jepesi la Chit Chat
Down To Earth JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 21,940 Reaction score 16,643 Oct 7, 2024 #103 finyango said: Mirange yote ya kizamani Click to expand... sizitaki mbichi hizi😂😂
Down To Earth JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 21,940 Reaction score 16,643 Oct 7, 2024 #104 finyango said: Mirange yote ya kizamani Click to expand... vipi kuhusu majini huko stoo kwako shehe kipozeo?
finyango said: Mirange yote ya kizamani Click to expand... vipi kuhusu majini huko stoo kwako shehe kipozeo?
F finyango JF-Expert Member Joined Aug 11, 2016 Posts 2,735 Reaction score 2,123 Oct 7, 2024 #105 Satirical Yet Awesome said: We unayo? Click to expand... Sio wore tunapenda uchafu na takataka
mswaki mbuyu JF-Expert Member Joined May 28, 2017 Posts 708 Reaction score 445 Oct 8, 2024 #106 Life Management said: duh kumbe we jamaa una elimu ndogo sana. kamsome mfalme sulemani utajua alimiliki majini na aliyafanyisha kazi zake naishia hapa kubishana na wewe, naona unafaa kuishia jukwaa jepesi la Chit Chat Click to expand... Sasa kuna shekhe kafikia uwezo wq Nabii Suleman..weeh mgalatia unajielewa lkn..nimekwambia hatotokea kiumbe wa kumiliki jini wala shekhe yyt ..Majini ulisoma wapi unaweza kummiliki na mnapigwa na kina shekhe sharifu...
Life Management said: duh kumbe we jamaa una elimu ndogo sana. kamsome mfalme sulemani utajua alimiliki majini na aliyafanyisha kazi zake naishia hapa kubishana na wewe, naona unafaa kuishia jukwaa jepesi la Chit Chat Click to expand... Sasa kuna shekhe kafikia uwezo wq Nabii Suleman..weeh mgalatia unajielewa lkn..nimekwambia hatotokea kiumbe wa kumiliki jini wala shekhe yyt ..Majini ulisoma wapi unaweza kummiliki na mnapigwa na kina shekhe sharifu...