Range Rover 13 anazomiliki Mchungaji Geordavie

Range Rover 13 anazomiliki Mchungaji Geordavie

Ndio hivyo tu sio kila jambo la kusema, lakini siku mkijua yaliyo nyuma ya kifo cha jamaa mtabaki midomo wazi.
Apumzike kwa amani.
Umbeya hata kwenye kifo.Amekufa kwa sababu muda wake wa kuishi umekwisha.Na hajauwawa.
Umbeya umewazidi mpaka mmeingilia vifo sasa?Bongo Fleva na Bongo Film haziwatoshi?
 
Huyu mzee baba nilimsikiliza akanikoshasana, na mafundisho yake ni ya kitajir tajiri tu, Kuna siku alisema yaani Napenda ule mngurumo wa v8 yangu Napenda tu, nikitoka kisongo mpaka mbauda una kunywa mafuta kama ya vi Ist 10..
 
Kwa kweli huyu nabii yupo tofauti Sana na manabii wengine ni nabii pekeee Tanzania mwenye roho ya huruma na upendo Mkubwa kwa binadamu naandikia hivi kwasababu nikiwa arusha nilikuwa naende kutengeneza radio yake NYU inapoharibika hayo magari yote unayo onyesha akilitumia baadaye huwa anagawa kwa watu hasa wafanyakazi wa pale hemani kwa kweli ni nabii wa tofauti Sana Tanzania sijaona mfano wake amekuwa msaada Mkubwa Sana kwa jamii inayo mzunguka hata kwa serikali amekuwa mpatanishi pia upande wa serikali
 
Stupid
 
Wewe pimbi nilisha kwambia chuki ya udini inakutafuna sana,bila shaka maisha yamekupiga huna mbele wala nyuma kama kitumbua,umebaki kujifariji tu kwenye kashfa ya udini,ukiona unasemwa uislam lazima ujipitishe huku unatingisha kalio lako.
We mwenyew ndo walewale
 
Back
Top Bottom