Range Rover 13 anazomiliki Mchungaji Geordavie

Range Rover 13 anazomiliki Mchungaji Geordavie

Mchungaji anamiliki marenji ya kutosha..

shehe anamiliki majini ya kushanta
Mchungaji ana kondoo ambazo amezichota akili,zinampelekea hela kila siku huku zenyewe zikiwa na maisha ya kuunga unga,

Hadi ukitaka kuombewa unalipia gharama! Si unaona hata wewe unamsifu huyo mchungaji kwa utajiri huku wewe kondoo wake unashindia mkate mkavu!
 
Back
Top Bottom