Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Ni Afrika tu huwaza:Huwezi jua mkuu,, ukute dogo ndo ilikuwa zamu yake kumtoa kafara. Maisha yana siri nyingi mkuu.
1. Kafara
2. Misukule
3. Freemason
4. Ndagu
Kuwa mweusi ni laana tupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Afrika tu huwaza:Huwezi jua mkuu,, ukute dogo ndo ilikuwa zamu yake kumtoa kafara. Maisha yana siri nyingi mkuu.
Mwaga Ubuyu.Ndio hivyo tu sio kila jambo la kusema, lakini siku mkijua yaliyo nyuma ya kifo cha jamaa mtabaki midomo wazi.
Apumzike kwa amani.
Nimecheka hatari🤣🤣🤣Mchungaji anamiliki marenji ya kutosha..
shehe anamiliki majini ya kushanta
Nadhani hata habari za Pdiddy zimetokea africa mkuu.Ni Afrika tu huwaza:
1. Kafara
2. Misukule
3. Freemason
4. Ndagu
Kuwa mweusi ni lasna tupu
unaweza ngumiMchungaji anamiliki marenji ya kutosha..
shehe anamiliki majini ya kushanta
?Kwake anapaitaga mjini mwa daudi,ibada zake mwanzo mwisho inaongelewa pesa tu
Niliwah kuish kisongo,jamaa huwa ana msafara kama wa raisushaenda?
?
Christina akiitwa tu church pale akimsifu jamaa(mwenyewe anmuita babake) akiimba.akimaliza hata mil kumi uhakika anapewa siku hiyohiyo.sahivi ni maswahibaWeeee kumbe??? Baada ya nanii kufariki ndo kahamia kwa huyo??
Niliwah kuish kisongo,jamaa huwa ana msafara kama wa rais
kama sio umbea na wivu?C
Christina akiitwa tu church pale akimsifu jamaa(mwenyewe anmuita babake) akiimba.akimaliza hata mil kumi uhakika anapewa siku hiyohiyo.sahivi ni maswahiba
Kwanini asidharau ndoa yake?
kwenye uchungaji..................makondoo yapo ya kutosha yasijiolewa hata ukiyaambia tanua niingize kwenye nyumba ya ibada,mtu na mke wake watagombaniaMchungaji anamiliki marenji ya kutosha..
shehe anamiliki majini ya kushanta
Kuongelea pesa ndio kukoje huko?....au ni kupeana mbinu za mafanikio?Kwake anapaitaga mjini mwa daudi,ibada zake mwanzo mwisho inaongelewa pesa tu
Huyu baba anasifika kwa kumwaga mihelaC
Christina akiitwa tu church pale akimsifu jamaa(mwenyewe anmuita babake) akiimba.akimaliza hata mil kumi uhakika anapewa siku hiyohiyo.sahivi ni maswahiba
Kwanini asidharau ndoa yake?
Yaan pale anaongelea mafanikio na jinsi wenye mafanikio wanavyoishi kwa maisha ya kumpendeza mungu,atawashauri waumin wajitahid kusali na kumwamin mungu wa madhabau yake ili wafanikiwe zaidi,pia atawashauri watoe zaidi sadaka watafanikiwa zaidi au kama hujafanikiwa,inabid usubir kidogo utomboe maana ukifika kwenye madhabau kwake na ukamwamin mungu wake kutoboa ni rahisKuongelea pesa ndio kukoje huko?....au ni kupeana mbinu za mafanikio?
Ndio,ana makanisa sehemu mbali mbali za nchi lakin kisongo arusha ndo makao makuu na pia anaishi nje kidogo ya kisongo,pia redio yake ipo hapo hapo kisongokumbe yupo hapa arusha?
tueleweshe tujue kidogoWaislamu wanamambo yao.
Ila yakule kidogo kuyaelewa hadi uwe umelewa haswaaa...
Maana tajiri anazidishiwa na maskini anazidi kukamuliwa hata kile kidogo alicho nacho wanakichukua.
Ukweli sijawahi kuona upumbavu wanamna hii. Yaani unamwambie maskini apokee nyumba ya kifakhari harafu weweanakuchangia shilingi elfu mbili halisi.