Unataka moja? Mkoani tunasafirisha karibu tukuhudumieAisee....Safiii sana
Usijali hata wafanyakazi wengi wa range rover wenyewe wanaozitengeneza hawana uwezo wa kuzinunuaMmmh pesa nayo ngumu kuipata Sasa sijui nifanyaje?
🤔🤔🤔🤔
hahahahaha Aisee umeongea pweint kubwa Sana!Usijali hata wafanyakazi wengi wa range rover wenyewe wanaozitengeneza hawana uwezo wa kuzinunua
Ukiona unaulizia consumption ya hio Gari, jua vitz ndio size yako. Au nasema uongo ndugu zangu?vipi unywaji wake wa mafuta isije kukuta lita 1 km 3, haya magari ya matajiri sisi tunaojikongoja hata ukishinda promosheni leo hii, gharama zake utanyanyua tu mikono
Lita moja KWA kilomita 8-9 hivi. Pia ni hybrid (betri/umeme na mafuta). Ukiswitch kwenye umeme kilomita 30 ila speed siyo kubwa kama ukiwa kwenye mafuta . Halafu unashauriwa ukiswitch kwenye betri uzime AC, Radio na taa kama huendeshi usiku. Betri inadumu miaka 3-5.vipi unywaji wake wa mafuta isije kukuta lita 1 km 3, haya magari ya matajiri sisi tunaojikongoja hata ukishinda promosheni leo hii, gharama zake utanyanyua tu mikono
vipi unywaji wake wa mafuta isije kukuta lita 1 km 3, haya magari ya matajiri sisi tunaojikongoja hata ukishinda promosheni leo hii, gharama zake utanyanyua tu mikono
Tuletee na Ford Ranger 2022 nasikia kafanya mafekeche kwenye cabin na engine
Watu wanaogopa tu Range Rover zipo za engine mdogo mpaka CC2700 diesel engine. Wao wenyewe ni wafanyabiashara.Ukiona unaulizia consumption ya hio Gari,jua vitz ndio size yako.Au nasema uongo ndg zangu?
Mkuu vipi ushapewa tender na serikali za kuleta landcruicer mpya LC300?Tuletee na Ford Ranger 2022 nasikia kafanya mafekeche kwenye cabin na engine
Serikali haina helaaa, si unaona Hangaya bado yupo na LC200 tuMkuu vipi ushapewa tender na serikali za kuleta landcruicer mpya LC300?