Range Rover 2022 itakuwa na viti vinne, tano na saba!

Range Rover 2022 itakuwa na viti vinne, tano na saba!

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka wanajamvi!

Range Rover 2022 itakuwa ya aina yake. Japo kimuonekano siyo tofauti Sana na Range Rover za awali kuna maboresho ya taa za nyuma ambazo zitazitofautisha na Range Rover zilizotangulia.

Pia upande wa ndani kwa mara ya kwanza kutakuwa na viti saba.

Mnunuzi atachagua mwenyewe anataka Renji ya aina gani na bei kutofautiana ambayo yenye viti vinne itakuwa ghali zaid kwasababu ya luxury zaidi. Na kutakuwa ya viti vitano pia.

range-rover-leak-3.jpg
Range-Rover-Nouvel-2.jpg
20211027123550_all_new Range Rover 3.jpg
Screenshot_20211128-222138.jpg
Screenshot_20211128-222145.jpg
Screenshot_20211128-222155.jpg
 
vipi unywaji wake wa mafuta isije kukuta lita 1 km 3, haya magari ya matajiri sisi tunaojikongoja hata ukishinda promosheni leo hii, gharama zake utanyanyua tu mikono
Lita moja KWA kilomita 8-9 hivi. Pia ni hybrid (betri/umeme na mafuta). Ukiswitch kwenye umeme kilomita 30 ila speed siyo kubwa kama ukiwa kwenye mafuta . Halafu unashauriwa ukiswitch kwenye betri uzime AC, Radio na taa kama huendeshi usiku. Betri inadumu miaka 3-5.
960x0 (1).jpg
 
Back
Top Bottom