How can a person dislike futuristic concept in realist circumstances?...uyu namshangaa..Chombo iko kwa hewa tayari hajastuka na hajui RR waeongea kwa vitendo the "future has come"Ni kwasababu always wako 1000miles ahead...
Jipe matumainiJana nilienda kwenye B'day ya mshkaji nimerudi home na keki iliyobaki.
Nimechelewa kuamka ili ninywe chai mpakani asubuhi na mchana.
So saa hii nakunywa chai na keki ya birthday.
Naruhusiwa kusema 'One day yes' juu ya hii ndinga?
AppreciatedJipe matumaini
Land rover shikamoo! Mashallah....ipo siku
View attachment 1991506