Range Rover 2022

Range Rover 2022

Leasing a car for usually 36 to 48 months... For this time the car is still under warranty, and most of the services and repairs are free so the 'owner' doesn't pay for services and repairs.

Since RR breaks often and it requires services regularly, this is a smart way (most) people don't incur costs. Read the following article about velar 2018 and how it is unreliable.

Migari ya kizungu ni ya kupigia nayo picha tu. Uuze sura mlimani city, usiku upaki maison uopoe warembo. Ukitaka gari za shughuli chukua Japanese
 
Sio kila mtu anafanya kazi hizo. Wengine ni software engineer, wanataka Toyota ya nini? Wakabebe embe?
Mbona Lexus inafanya vizuri in terms of reliability japo ni luxury brand kama RR. Kupitia Lexus kampuni ya Toyota imeweza kuprove kwamba gari inaweza kuwa luxury but still reliable
 
Naomba nioneshe hio 2yrs old RR iliokuwa $400,000 ikashuka mpaka $40,000?
Kataa usikatae RR depression yao ni kubwa, sababu kuu ni gar zisizoisha magonjwa, wataalam zaid wanashauri utembelee miaka2 uuze, la sivyo itakuumiza kichwa
 
Labda wameyamiliki mkuu , utembelee miaka miwili uuze dah 😀😀😀😀
Yaani matajiri wahangaike na kitu kibovu waache kitu kizuri.
Mo
Manji
Shiva
Mengis...hawa na matajiri wengine tusiowajua kila model ikitoka wanachukua mpya na hawauzi hadi itoke model ingine
Super stars and rich all over the world got a RR. Hawa wote hawana akili wanahangaika na kitu kibovu!
 
Namaanisha gari ambayo unaweza kwenda nayo kokote iwe on ama off road bila kuwa na wasiwasi wa kuharibika.
Watakua wamekudanganya na wewe unataka kudanganya watumiaji wa hizo gari mimi nina ford toka kitambo nina Ford Bantam ya 2006 nilinunua 2010 mpaka leo ipo inapiga kazi na haina magonjwa ya hovyo hovyo na hii ingine Ford wildtruck ina nguvu sana popote naenda tena bara bara mbovu kweli na natoboa gari yeyote za mzungu nunua miaka ya karibuni ili ufurahie gari sio mwaka 2021 unanunua gari ya 2000 hapo vitu vingi utahitaji kubadilisha na kubaki JF ukiuliza na kulalamika wakati mwingine anayo kama hiyo anatembea tuu..sasa hivi nimeona Toyota GDR 6 nyingi Auto pick up ni gari nzuri ila ukikaririshwa utaambiwa sio gari ya kazi kama unataka ngoma ya kazi vuta greda tena CAT...
 
Yaani matajiri wahangaike na kitu kibovu waache kitu kizuri.
Mo
Manji
Shiva
Mengis...hawa na matajiri wengine tusiowajua kila model ikitoka wanachukua mpya na hawauzi hadi itoke model ingine
Super stars and rich all over the world got a RR. Hawa wote hawana akili wanahangaika na kitu kibovu!
Mkuu wewe kiboko wachimbachumvi ndio zetu tunaponda vitu tusivyoviweza.
 
Hivi haya maneno sijui mnayatoa wapi Wazee
Sio maneno, its a fact, kuna ule msemo wa top gear kuwa, if you want yo go ofload with luxiury pick the Range Rover, if you want yo come back pick the land cruiser, its an old say with meaning

Ingia youtube search sehem yoyote kuhusu least unreliable cars
Ata hii link ni waingereza ila bado wanaponda magari yao


Dada yangu ana RR sport 2012 ililipuka engine akiwa mwendo wa kawaida tu, na matatizo mengine kibao anapata, japo analipenda
 
Back
Top Bottom