Range Rover 2022

Range Rover 2022

IMG-20211102-WA0041.jpg
Dar...
 
Kwa upande wangu sijapenda muonekano wa nje umekaa futuristic sana kwa nyuma
Kwa ndani imetulia hamna buttons nyingi au vitu vya ajabu
 
Duh mkuu mbona za 2014 huko bei bado imesimama kwenye £25,000 ambayo ni 80m bado TRA hamjatoana damu!
Aiseeee njaa hizi



Sema kali...

Nilijua ni RR umeiweka nikawahi kweli nkaone RR ya 24k[emoji23][emoji23]
 
Hii picha nimeiona wiki iliyopita nikahisi ni concept image ya hiyo ndinga kumbe ni reality....
Kuanzia mwakan tutayaona haya Magari hapa bongo hasa Kwa wahindi na waarabu.
Hata land cruiser 300 series tutaiona Tu kuanzia mwakan maana hapa bongo kuna wabishi wanasukuma mipira ya hatari barabaran
Mbona naskia ishafika moja znz
 
Gari za Japanese hata V8 engine zao huwa nashindwa kuelewa zile sound, yaani gari v8 inalia kama premio,🤣..

V8 za mzungu, dude kama Ford likiunguruma tu huna haja ya kuuliza kama ni v8😃
hata hao watu weupe wanaziheshimu gari za kijapan in terms of durability. For your information hiyo Range Rover after 10 years resale value yako itakua chini zaidi mara mbili zaidi ya land Cruiser ya mwaka 2020
 
Ngoja niendelee kuomba Mungu nitimize ndoto yangu ya kumiliki disco 4
 
Back
Top Bottom