Range Rover 2022

Range Rover 2022

Hakuna kitu kama hicho Mkuu hiyo gari mimi na utukutu wangu wote kwenye magari nabaki kuiangalia tuu...

Kwa Mungu madogo mkuu ipo siku na wewe unaweza kuwa nalo
IMG_20170728_101056_Original.jpg
 
Ukiachili mbali designing yake, niliona video SUV zikifanyiwa off road test, Ilikuwepo LC, Jeep Grand Cherokee, Nissan patrol, bmw x6, bmw x7, audi q7 na nyinginezo nyingi, asee RR ili score vizuri mno kuliko gari zote...

Kuna sehemu gari nyingi zilikuwa zinakwama, zile nyengine zikawa zinapita kwa tabu sana, RR ilipita pale mzee mpaka nikanyoosha mikono😃, ngoma haikufikiri mara 2..

Hawa waliovamia fani ya SUV, akina Rolls Royce na Lamborghini inabidi wasubiri asee..

Gari nyengine ya kinyama sana na safety hasa kwenye ajali ni Mercedes G-wagon..

Kwenye nguvu hivi Discovery ana mpinzani kweli? Sio kwa power ile😃

That's why VIP wanazikubali sana hizi gari..



Aisee hii niliiicheki, RR na G-Wagon ndiyo zilifanya vizuri....
 
Usiseme one day YES kwenye hii RR ikiwa bado wewe ni wale wa:

hii inakula sana mafuta.
Spea ni kazi sana kupata.
Utapata shida kuliuza n.k

Endelea tu kupambana na premio utlist ununue new model.
Watu wanaonunua haya magari depreciation has never been their concern.

Akiichoka anaiweka uani iozee huko.

Sisi wa Crown tunaotaka tukalie na dalali aiuze ndo concern yetu.
 
Back
Top Bottom