Range Rover 2022

Range Rover 2022

Ukiachili mbali designing yake, niliona video SUV zikifanyiwa off road test, Ilikuwepo LC, Jeep Grand Cherokee, Nissan patrol, bmw x6, bmw x7, audi q7 na nyinginezo nyingi, asee RR ili score vizuri mno kuliko gari zote...

Kuna sehemu gari nyingi zilikuwa zinakwama, zile nyengine zikawa zinapita kwa tabu sana, RR ilipita pale mzee mpaka nikanyoosha mikono😃, ngoma haikufikiri mara 2..

Hawa waliovamia fani ya SUV, akina Rolls Royce na Lamborghini inabidi wasubiri asee..

Gari nyengine ya kinyama sana na safety hasa kwenye ajali ni Mercedes G-wagon..

Kwenye nguvu hivi Discovery ana mpinzani kweli? Sio kwa power ile😃

That's why VIP wanazikubali sana hizi gari..
 
Sina la ziada zaidi ya kumuomba mungu apokee ndoto yako na aigeuze iwe .........in Sha Allah

Ila Kaka hiyo machine si mchezo na nahisi wao wenyewe wanaweza kuchukua miaka kadhaa kuja kutoa toleo la kuipiku hii ya 2022
Jamaa wameacha Toyota na Nissan wamekukuruka na matoleo Yao wao wakamaliza kabisa!

Amen dua zisikike
 
Ukiachili mbali designing yake, niliona video SUV zikifanyiwa off road test, Ilikuwepo LC, Jeep Grand Cherokee, Nissan patrol, bmw x6, bmw x7, audi q7 na nyinginezo nyingi, asee RR ili score vizuri mno kuliko gari zote...

Kuna sehemu gari nyingi zilikuwa zinakwama, zile nyengine zikawa zinapita kwa tabu sana, RR ilipita pale mzee mpaka nikanyoosha mikono😃, ngoma haikufikiri mara 2..

Hawa waliovamia fani ya SUV, akina Rolls Royce na Lamborghini inabidi wasubiri asee..

Gari nyengine ya kinyama sana na safety hasa kwenye ajali ni Mercedes G-wagon..

Kwenye nguvu hivi Discovery ana mpinzani kweli? Sio kwa power ile😃

That's why VIP wanazikubali sana hizi gari..
Amazing
 
Jamaa wameacha Toyota na Nissan wamekukuruka na matoleo Yao wao wakamaliza kabisa!

Amen dua zisikike
Wamepata faida ya kuwa wa mwisho kwenye kuscore n they score big........km vile kwenye sarakasi,unawaacha wabinukebinuke wewe unakuja mwisho unapiga sommersorte za kufa mtu😀😀😀😀
 
Kwa hii range sh ngapi mleta mada?
Land rover shikamoo! Mashallah....ipo siku
View attachment 1991506
Mleta mada kwani hii chuma sh ngapi bana? Nawaza nikiwa na gari zangu tatu, ni mfano tu zote nikazipiga bei, mfano nina VW, crown, nina... i mean murano nikaongezea vipesa kidogo si ninavuta hii chuma? Nawaza tu.
 
Kwa hii range sh ngapi mleta mada?

Mleta mada kwani hii chuma sh ngapi bana? Nawaza nikiwa na gari zangu tatu, ni mfano tu zote nikazipiga bei, mfano nina VW, crown, nina... i mean murano nikaongezea vipesa kidogo si ninavuta hii chuma? Nawaza tu.
Hii inabidi usiwe na chini ya 300m. Trust me hizo ulizotaja ukiuza hupati hata hizo wheels zake
 
Ukiachili mbali designing yake, niliona video SUV zikifanyiwa off road test, Ilikuwepo LC, Jeep Grand Cherokee, Nissan patrol, bmw x6, bmw x7, audi q7 na nyinginezo nyingi, asee RR ili score vizuri mno kuliko gari zote...

Kuna sehemu gari nyingi zilikuwa zinakwama, zile nyengine zikawa zinapita kwa tabu sana, RR ilipita pale mzee mpaka nikanyoosha mikono[emoji2], ngoma haikufikiri mara 2..

Hawa waliovamia fani ya SUV, akina Rolls Royce na Lamborghini inabidi wasubiri asee..

Gari nyengine ya kinyama sana na safety hasa kwenye ajali ni Mercedes G-wagon..

Kwenye nguvu hivi Discovery ana mpinzani kweli? Sio kwa power ile[emoji2]

That's why VIP wanazikubali sana hizi gari..
Disco hana mpinzani aisee yaan kwa Road nawakimbizaaaaa wenye vieite balaa halafu were kiduchuuuuuu full tank mbeya daslam,taa inawakia kibaha,na inaniambia bado nna km 60 taa ikiwaka. Iheshimu sana chuma ya mzungu aiseee
 
Back
Top Bottom