wa ngaranga
Member
- Jun 12, 2020
- 91
- 202
Toyota na Nissan wametoa magari yenye kufanana body structure kwa miaka karibu 3 sasaJamaa wameacha Toyota na Nissan wamekukuruka na matoleo Yao wao wakamaliza kabisa!
Amen dua zisikike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toyota na Nissan wametoa magari yenye kufanana body structure kwa miaka karibu 3 sasaJamaa wameacha Toyota na Nissan wamekukuruka na matoleo Yao wao wakamaliza kabisa!
Amen dua zisikike
Haaaa haaa haaa acha roho mbayaHii inabidi usiwe na chini ya 300m. Trust me hizo ulizotaja ukiuza hupati hata hizo wheels zake
Aisee, hio noma sanaDisco hana mpinzani aisee yaan kwa Road nawakimbizaaaaa wenye vieite balaa halafu were kiduchuuuuuu full tank mbeya daslam,taa inawakia kibaha,na inaniambia bado nna km 60 taa ikiwaka. Iheshimu sana chuma ya mzungu aiseee
Japanese at workToyota na Nissan wametoa magari yenye kufanana body structure kwa miaka karibu 3 sasa
Gari za Japanese hata V8 engine zao huwa nashindwa kuelewa zile sound, yaani gari v8 inalia kama premio,🤣..Toyota na Nissan wametoa magari yenye kufanana body structure kwa miaka karibu 3 sasa
Hakuna kitu kama hicho Mkuu hiyo gari mimi na utukutu wangu wote kwenye magari nabaki kuiangalia tuu...
Naomba nioneshe hio 2yrs old RR iliokuwa $400,000 ikashuka mpaka $40,000?
Kwa mwaka haiwezi kuwa hivyo! 4-6 years walau
Usiseme one day YES kwenye hii RR ikiwa bado wewe ni wale wa:
hii inakula sana mafuta.
Spea ni kazi sana kupata.
Utapata shida kuliuza n.k
Endelea tu kupambana na premio utlist ununue new model.
Ahaaaaa wacha nilale sina neno tena🙈🙈🙈Hii inabidi usiwe na chini ya 300m. Trust me hizo ulizotaja ukiuza hupati hata hizo wheels zake
Ukiachili mbali designing yake, niliona video SUV zikifanyiwa off road test, Ilikuwepo LC, Jeep Grand Cherokee, Nissan patrol, bmw x6, bmw x7, audi q7 na nyinginezo nyingi, asee RR ili score vizuri mno kuliko gari zote...
Kuna sehemu gari nyingi zilikuwa zinakwama, zile nyengine zikawa zinapita kwa tabu sana, RR ilipita pale mzee mpaka nikanyoosha mikono😃, ngoma haikufikiri mara 2..
Hawa waliovamia fani ya SUV, akina Rolls Royce na Lamborghini inabidi wasubiri asee..
Gari nyengine ya kinyama sana na safety hasa kwenye ajali ni Mercedes G-wagon..
Kwenye nguvu hivi Discovery ana mpinzani kweli? Sio kwa power ile😃
That's why VIP wanazikubali sana hizi gari..
Nchi zilizoendelea sio kazi ngumu sana. Ila hapa kwetu shughuli yake pevuKwa Mungu madogo mkuu ipo siku na wewe unaweza kuwa nalo
View attachment 1992509
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa tena Madalali wataiita "Range Macho ya Simba"[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona watu mnakuwa obsessed sana na depreciation ya magari?RR zina depreciation kubwa kinoma. Utashangaa from $400,000 to $40,000 ndani ya 2 yrs. Imagine 10.
Watu wanaonunua haya magari depreciation has never been their concern.Usiseme one day YES kwenye hii RR ikiwa bado wewe ni wale wa:
hii inakula sana mafuta.
Spea ni kazi sana kupata.
Utapata shida kuliuza n.k
Endelea tu kupambana na premio utlist ununue new model.
Aiseee.....Hii inabidi usiwe na chini ya 300m. Trust me hizo ulizotaja ukiuza hupati hata hizo wheels zake
Nchi zilizoendelea sio kazi ngumu sana. Ila hapa kwetu shughuli yake pevu