Range Rover, Land Rover, Land Rover Discovery, magari ambayo kwa sasa Mwingereza amechemsha

Range Rover, Land Rover, Land Rover Discovery, magari ambayo kwa sasa Mwingereza amechemsha

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,870
Reaction score
15,068
1753086369267.png

Range Rover​

©Vauxford, CC BY-SA 4.0, Wikimedia Commons
The Range Rover is often considered the top luxury SUV, but its reliability can be a nightmare. Although some owners quickly praise how well it drives off-road and how much they love the cushy interior, others are plagued with constant visits to the garage.
1753086445178.png

The High Cost Of Prestige​

©M 93, Wikimedia Commons
Having a luxury SUV feels great until the repair bills start mounting. Range Rover owners complain about engine failures and electrical issues, calling it "a ride that can empty your wallet faster than you can say luxury." But this isn't the only case of something too good to be true.
1753086743279.png

Land Rover Discovery Breakdowns​

©Vauxford, CC BY-SA 4.0, Wikimedia Commons
Discovery owners risk having to look for a tow after a day on off-road trails, thanks to issues with the suspension and electronics. Although it's built for adventure, this Land Rover has become known for its chronic breakdowns. Some vehicles like this are great in theory but not always in practice.

KWA WALE WENYE UKWASI
WaTanzania hizi gari ni mzigo.
Ukiwa nayo miaka mitatu ni bahati.
Hata ikiwa brand new inaweza kukuzimikia na usijue la kufanya.
 
Lakini kuna watu wako nazo zaidi ya miaka mitatu na zaidi, na kuna watu hawamalizi wiki zinataga. Nzuri nunua mpya kabisaa, na kama mtunzaji unaefata matunzo unakaa nazo tu, shida watu wananunua used na hujui alie kuwa anatumia alikuwa anaitumiaje
 
Kuna jamaa namfahamu hapa Dar, alinunua mpya kabisa na makaratasi yake ya viti toka CMC Tanzania.
Hikupita miezi minne , Land Rover Discovery engine ikafa kabisa, ilibidi iagizwe engine nyingine.
Jamaa alikosa nguvu kabisa.
 
Hiyo utokea mkuu. Ingawa yaonekana Land Rover Discovery zina matatizo sana. Uzuri wa kununua mpya ndio huo
 
Back
Top Bottom