masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,870
- 15,068
Kuna jamaa namfahamu hapa Dar, alinunua mpya kabisa na makaratasi yake ya viti toka CMC Tanzania.Lakini kuna watu wako nazo zaidi ya miaka mitatu na zaidi, na kuna watu hawamalizi wiki zinataga. Nzuri nunua mpya kabisaa, na kama mtunzaji unaefata matunzo unakaa nazo tu, shida watu wananunua used na hujui alie kuwa anatumia alikuwa anaitumiaje
Hiyo utokea mkuu. Ingawa yaonekana Land Rover Discovery zina matatizo sana. Uzuri wa kununua mpya ndio huoKuna jamaa namfahamu hapa Dar, alinunua mpya kabisa na makaratasi yake ya viti toka CMC Tanzania.
Hikupita miezi minne , Land Rover Discovery engine ikafa kabisa, ilibidi iagizwe engine nyingine.
Jamaa alikosa nguvu kabisa.