Range Rover lazima nimiliki aki bless

Range Rover lazima nimiliki aki bless

October man

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2017
Posts
3,635
Reaction score
5,012
Afe kipa afe beki ndoto yangu ni kuja kumiliki Range Rover kali hata ya 200M other dreams remain constant.

Vorgue
IMG_20191119_063239_422.jpeg
 
Kwa hiyo hata siku ukimnunulia mkeo chupi mpya utatangaza?kumiliki Renj sisi inatuhusu nini?walionazo ulishawahi kuona wanajitanfaza? hili jukwaa limeingiliwa na vitoto vinavyowaza kunyonya kwa mama.
 
usiniambie umechoka kumwona moo kila siku?

hata kwenye picha nayo huridhiki,unataka uingie na uimiliki?

Anza kuishi ki range range sasa,assume that it's already in your hand

Ule ubaili baili wa vicent cent achana nao,live that life you'll see range rover closer n closer
 
Kitu cha Envoque kimesimamia ukucha balaa

Hizo SUV ni balaa zito,kila mwenye hela za ukweli ukweli lazima awe nalo hilo ndinga.
 
Back
Top Bottom