Range Rover lazima nimiliki aki bless

Kwa hiyo hata siku ukimnunulia mkeo chupi mpya utatangaza?kumiliki Renj sisi inatuhusu nini?walionazo ulishawahi kuona wanajitanfaza? hili jukwaa limeingiliwa na vitoto vinavyowaza kunyonya kwa mama.
 
usiniambie umechoka kumwona moo kila siku?

hata kwenye picha nayo huridhiki,unataka uingie na uimiliki?

Anza kuishi ki range range sasa,assume that it's already in your hand

Ule ubaili baili wa vicent cent achana nao,live that life you'll see range rover closer n closer
 
Kitu cha Envoque kimesimamia ukucha balaa

Hizo SUV ni balaa zito,kila mwenye hela za ukweli ukweli lazima awe nalo hilo ndinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…