Kuna mtifuano umezuka twitter kule.
Kuna mtu analeta ushabiki anapewa fact lakini helewi,kuna range halafu kuna gari linaitwa LC, hapo tunataja V8 zote mpaka hiyo mpya ya V6 2022.kwanza linauzika,pili sio gharama kulimiliki,na linahimiri mazingira yetu ya juakali na barabara za ahadi za uchaguzi.
Hiyo gari kwa namna ilivyopokelewa mtaani ni ishara njema sana kwamba toyota wameupiga mwingi kuanzia serikalini mpaka kwa mabro wenye kiburi hapa nchini.hilo range watu wana uwezo wa kuyanunua lakini wanayapotezea.