niquetamere
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 532
- 1,008
Ukiendelea hivi watakubandua soon tu wewe mpumbavu. Akili fupi. Husemi kuwa ikitokea umepata hela au utatafuta hela ili ulinunue wewe unawaza atokee mtu tu akupe bure bure. Acha uzwazwa ngumbaru weweinatokea mtu ananiambia nichague gari
Hawana baya mbonaView attachment 2509683
Kwahiyo unamaanisha kama mmoja ataamua kukupa moja siku ya birthday,sawa mike[emoji13][emoji13]
Hapa kuna mtu kashaleft group [emoji1]View attachment 2509683
Kwahiyo unamaanisha kama mmoja ataamua kukupa moja siku ya birthday,sawa mike[emoji13][emoji13]
Mwanaume rijali hawezi jinasibisha na kajala achilia mbali ushikaji tuuKivile wewe upinde basi wote hapa ni upinde sio?
Matokeo yameshatoka, nenda form five, range utaendelea kuliona kwenye TVGuys poleni na majukumu
Range ni gari ambayo haina mpinzani ni gari zuri sana na la heshima natamani sana kumiliki kama inatokea mtu ananiambia nichague gari basi nitachagua range 🤗🤗🤗 my dream car
Hii tamaa ukishindwa kui control utakuja kupumuliwa kimasihara.Guys poleni na majukumu
Range ni gari ambayo haina mpinzani ni gari zuri sana na la heshima natamani sana kumiliki kama inatokea mtu ananiambia nichague gari basi nitachagua range [emoji847][emoji847][emoji847] my dream car
Naikubali sanaGuys poleni na majukumu
Range ni gari ambayo haina mpinzani ni gari zuri sana na la heshima natamani sana kumiliki kama inatokea mtu ananiambia nichague gari basi nitachagua range [emoji847][emoji847][emoji847] my dream car
Kwanza escalade bongo zipo za kuhesabu.Range ile ya kina kajala ,huwezi kufananisha na mashine escalade huwezi kukuta malaya wanaendesha
hii hoja haipingwi..Guys poleni na majukumu
Range ni gari ambayo haina mpinzani ni gari zuri sana na la heshima natamani sana kumiliki kama inatokea mtu ananiambia nichague gari basi nitachagua range 🤗🤗🤗 my dream car