Car4Sale Range Rover Sport yakufugwa sokoni

Mwambie ashushe chap
Nililtakaa nikuiteee sponsor wangu.
Haya mume wangu RR hiyo hapoo, hebu ninunulie nikimbize mji mie.
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji182][emoji182][emoji182]

Watu na sponsor wetuuu. Weuweeeeh
 
Chukua 25 M chaap
 
Bei Inapungua Ukija Kwenye Gari. Kamata Mkono Sponser Njoo Nae Ofisini Kwangu Tuzungumze Hakuna Kinachoshindikana
@Mjep

Babeee twende ofisini tukafanye mazungumzoo, kasema bei inapungua.
 
Ukiona mteja anaulizia matumizi ya mafuta na spare kwenye huyu mnyama mpige vibao...hayo mambo ya matumizi ya mafuta na spare watuachie sisi wateja wa raumu,ist,premio n.k
Hahahahahhahahaaa
 
Ina registration namba ipi boss?

Ilikua imepark sana au? Gari ya 2006 ina , 50k kilometres?

Almost miaka 16 imepita. Kwamba kwa mwaka inatembea kilometa 3k tu.

Usajili Wake Ni Namba EAZ Mkuu Ikiwa Imesajiliwa Mnamo Tarehe 18 Mwezi Wa 11 Mwaka Jana.

Kuhusu Swali Lako La Kilometa Ni Kwamba Gari Inaweza Ikawa Imetengenezwa Mwaka 2006 Lakini Ikaja Kununuliwa Baada Ya Miaka 5 Au Zaidi Mbele.

Isitoshe Kwa Wenzetu Wa Nchi Zilizoendelea Matumizi Yao Ya Magari Ni Tofauti Kabisa Na Sisi Huku Hasa Africa.

Yote Ni Kutokana Na Ubora Wa Usafiri Wao Wa Umma Ivyo Unakuta Mtu Anaweza Akatumia Gari Kwa Mwezi Mara Mbili Au Tatu.

Kwa Kumalizia Hata Documents Za Gari Zinaonyesha Mileage Ilizoingia Nazo Hapa Nchini Ikiwa Kwenye 4th Grade Moja Ya Magari Yaliyo Kwenye Hali Nzuri.

Kwa Mawasiliano Zaidi[emoji338] +255 747 999 927 Ofisi Zetu Zinapatikana Sinza Madukani Barabara Ya Shekilango Mtaa Wa Gatundu.

Karibu Sana🫱[emoji2534]‍🫲[emoji2535]
 
Hili si gari bali ni chuma chakavu Yom: 2006
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…