Car4Sale Range Rover Sport yakufugwa sokoni

Car4Sale Range Rover Sport yakufugwa sokoni

Full report niiweke uamini?

Ushafeli Na Ripoti Zako Za Mchongo. Landrover za Mwaka 2006 Ziko Ngapi Hapa Bongo? Model Hujaweka Isitoshe Unadanganya Gari Imesajiliwa Mwezi Wa Nane Wakati Huku Ni Mwezi Wa 11 Mwaka Jana.

Source Ya Report Hujaweka. All In All Kama Unamchukia Mtu Ni Bora Umwambie Na Sio Kutaka Kumchafua.

Nimemaliza Mjadala
 
Hiyo ripoti mi wakati gari bado ipo UK. Tanzania hawana vitu kama hivi. Una kichwa kigumu sana inaonekana maana nimekwambia hapo juu.
 
Ukiweza Kunitafutia Mtu Wa Kushusha Mileage Kwa Upande Wa Hizi Foreign Cars Kuna Milioni Moja Yako Hapa.

Ofisi Zangu Zipo Sinza Madukani Mtaa Wa Gatundu Barabara Ya Shekilango. Karibu Muda Wote

Call[emoji338] 0747 999 927
Foreign cars unamaanisha Nini?
 
Ushafeli Na Ripoti Zako Za Mchongo. Landrover za Mwaka 2006 Ziko Ngapi Hapa Bongo? Model Hujaweka Isitoshe Unadanganya Gari Imesajiliwa Mwezi Wa Nane Wakati Huku Ni Mwezi Wa 11 Mwaka Jana.

Source Ya Report Hujaweka. All In All Kama Unamchukia Mtu Ni Bora Umwambie Na Sio Kutaka Kumchafua.

Nimemaliza Mjadala
Mkuu wenzetu ulaya hawana janja janja kudanganya mileage, mdau kutafuta historia yake ilipokua UK. Usipanic kulazimisha kilometers unazotaka. Gari utauza tuu
 
Nimelipia full report ya hii gari. Mara ya mwisho kusajiliwa 01.08.2022 inaonyesha imetembea 112,526 miles!!

Watu wanapigwa kwa kushindwa kutumia teknolojia

Mleta mada kubali gari imeshushwa km!

Mbona tunajua lkn huwa tunakausha sasa usilete ubishi nkutumie ripoti nyingine apa inaonesha hiyo gari ilishapata ajali twice..!

Tuliaa ivo ivo uza gari uuze gari yako
Lakini usipambane na teknolojia mkuu

Tunaheshimu kazi kazi yako[emoji1477]
 
Gari ya 2006 how come unasema odometer inasoma 50,000 km? Wamiiliki 6 in total. Kwa hizo kilometers laki na elfu 89, engine itakuwa inaenda kufa. Imebaki mwonekano tuu wa nje
 
Kwa jinsi ninavyoijua hii gari, watakuwa wamebadilisha
Braza haaimini vile…duh….mzee hivi tunavyoambiwa dunia kiganjani watu wanaelewa nini? Dunia ya leo ni ngumu kudanganya kila mtu.
Mzee Masanja upo mzee mwenzangu? Hawa makanjanja itabidi tuchukue hatua madhubuti hata kulipa dola 10 ili mradi
 
Back
Top Bottom