Range Rover Velar VS Land Cruiser Prado

Simara

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2014
Posts
7,512
Reaction score
23,925
Habari, mimi sio mwandishi mzuri hivyo naomba penye makosa nivumiliwe.

Rafiki yangu anataka kununua gari ila yupo njia panda hajui achukue ipi kati ya gari hizi mbili.
1. Range Rover Velar
2. Toyota Land Cruiser TX

Kuhusu spare parts sijui mafuta sio shida kwake.

Ila sio mpenzi wa kukaa na gari muda mrefu, je akitaka kuja kuuza Velar ili abadilishe itauzika?

Kwa Wazoefu wa Magari mnamshauri achukue ipi?

 
Kama anazo za kutosha, aachane na hayo, badala yake achukue hili; liko reasonably priced halafu ni reliable sana. Model za siku hizi za Jeep zina luxuries nyingi sana added ndani yake. Toyota siku hizi wanauza jina tu, lakini reliability ya magari yake ni ya chini sana. Sishauri Land cruiser kabisa
 
Nitamuonyesha text yako pia ingawa yeye choice zake ni hizo mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…