Range Rover Velar VS Land Cruiser Prado

Range Rover Velar VS Land Cruiser Prado

Baada ya zile argument za kibingwa na kuchambua technical issue tumeahmia huku jaman? Tusiwe na jaziba twende mdogo mdogo
Dawa ya ,moto ni moto. Anayeleta lugha chafu hata mimi humjibu lugha chafu. Ulinikwoti nikiwa namjibu mpumbavu mmoja aliyetaka kubadilisha mjadala kuwa matusi.
 
Njoo SA uone hizo gari zinaenda huko Mpumalanga hizo Hilux za 2023 wanaweka inavuta gari bara barani yaani gari ya gharama hivyo iwe laini tutumie hata akili kidogo mkuu mimi nahusika na LC ila hizo Mercedes na mjomba ake Range rover ziache kabisaa..unajua Tanzania hatutumii gari harafu tupo busy kuponda vitu tusivyotumia angalia hao Wazambia vitu wanavyosukuma harafu uje hapa na mashambani wanavitumia.
Mkuu hakuna mtu ameponda gari yeyote hapa

Kila gari ina sifa zake kwenye matumizi na ndio maana umeona Hilux zinavuta matreka na sio Lexus

Gharama sio kigezo, kama kweli unayajua magari na kazi zake huwezi kudhania gari yenye garama kubwa ndio fanisi kwa kila kitu

Mkuu ukiamua kununua Lambo yako ukaanza kubebea mikungu ya ndizi na mbole shambani utakua umeamua tu lakini huwezi kusema gari hiyo ndio inaufanisi kuliko Nissan pick hardbody hata kama Lambo inabei mara 10 ya Nissan

RR na hizo G wagon utazikuta kwenye nyumba za ma celebrate za kwenda kwenye bata ila Lan Cruiser, Jeep Grand, Nissan Patrol and the co utazikuta zipo site dunia kote sio Tz tu

Kila gari ina matumizi yake
 
Kwa reliability land cruiser inaongoza ikifuatiwa kwa mbali na Mercedes Benz g wagon, kwa luxury kati ya hizo ulizozitaja ni range rover cellar ndio version bora zaidi ya range rover kiujumla kwenye luxury, ushahidi ninao njoo na hoja
Hujakutana na RR zile SV Autobiography, Velar hata kwa vogue haifikii , SV Autobiography ile ni pepo...
 
Mkuu hakuna mtu ameponda gari yeyote hapa

Kila gari ina sifa zake kwenye matumizi na ndio maana umeona Hilux zinavuta matreka na sio Lexus

Gharama sio kigezo, kama kweli unayajua magari na kazi zake huwezi kudhania gari yenye garama kubwa ndio fanisi kwa kila kitu

Mkuu ukiamua kununua Lambo yako ukaanza kubebea mikungu ya ndizi na mbole shambani utakua umeamua tu lakini huwezi kusema gari hiyo ndio inaufanisi kuliko Nissan pick hardbody hata kama Lambo inabei mara 10 ya Nissan

RR na hizo G wagon utazikuta kwenye nyumba za ma celebrate za kwenda kwenye bata ila Lan Cruiser, Jeep Grand, Nissan Patrol and the co utazikuta zipo site dunia kote sio Tz tu

Kila gari ina matumizi yake
Umasikini wetu wa Nchi masikini na fikra za kimasikini tu Mkuu juzi nipo Four ways pana mzungu alikua anavuta tela juu kapakia Trekta MF 165 nikasema hapa wale ndugu zangu wa magari wakiona hii sijui watasemaje..
 
W
Hujazifungua kwa hiyo unatetemeshwa na majina. Mimi nilitoa ushauri kama fundi makanika mwenye leseni ya SAE. Nilishazjazifungua na kujua undani wake. Toyota ina parts nyingi sana za plastic ukilinganisha na hilo Jeep la 2024. In fact Jeep hilo ni model mpya kabisa kwenye msululu wa models za Jeep; ilianza kutengenezwa mwaka 2021 tu na hii version ya 2024 ndiyo iliyoboreshwa sana.

View attachment 3077610

View attachment 3077614
Web yangu pendwa kwa review ya magari
 
Back
Top Bottom