Range Rover Velar VS Land Cruiser Prado

Mnunuzi wa Range Rover huwezi kumkuta anajiuliza nichukue Range Rover au Toyota.
 
Huu uchafu utalinganisha na Land Cruiser kwenye swala la Reliability?!
Aisee
 
Nendeni toyota na cmc mkaulize ini details amenities za kila gari kisha achague mwenyewe, baada ya kuyaona kwa macho
 
Mnunuzi wa Range Rover huwezi kumkuta anajiuliza nichukue Range Rover au Toyota.
Watu wa JF muda mwingine mna mambo😂😂😂kila kitu kina mwanzo uzoefu wako wewe kwenye magari usidhani kila mtu anaweza kuwa nao….issue ilikua kujua inauzika…sio kila mtu anapenda kukaa na gari miaka 5…:kachukua Velar..!!
 
Huu uchafu utalinganisha na Land Cruiser kwenye swala la Reliability?!
Aisee
Hujazifungua kwa hiyo unatetemeshwa na majina. Mimi nilitoa ushauri kama fundi makanika mwenye leseni ya SAE. Nilishazjazifungua na kujua undani wake. Toyota ina parts nyingi sana za plastic ukilinganisha na hilo Jeep la 2024. In fact Jeep hilo ni model mpya kabisa kwenye msululu wa models za Jeep; ilianza kutengenezwa mwaka 2021 tu na hii version ya 2024 ndiyo iliyoboreshwa sana.



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…