Range Rover Velar VS Land Cruiser Prado

Baada ya zile argument za kibingwa na kuchambua technical issue tumeahmia huku jaman? Tusiwe na jaziba twende mdogo mdogo
Dawa ya ,moto ni moto. Anayeleta lugha chafu hata mimi humjibu lugha chafu. Ulinikwoti nikiwa namjibu mpumbavu mmoja aliyetaka kubadilisha mjadala kuwa matusi.
 
Mkuu hakuna mtu ameponda gari yeyote hapa

Kila gari ina sifa zake kwenye matumizi na ndio maana umeona Hilux zinavuta matreka na sio Lexus

Gharama sio kigezo, kama kweli unayajua magari na kazi zake huwezi kudhania gari yenye garama kubwa ndio fanisi kwa kila kitu

Mkuu ukiamua kununua Lambo yako ukaanza kubebea mikungu ya ndizi na mbole shambani utakua umeamua tu lakini huwezi kusema gari hiyo ndio inaufanisi kuliko Nissan pick hardbody hata kama Lambo inabei mara 10 ya Nissan

RR na hizo G wagon utazikuta kwenye nyumba za ma celebrate za kwenda kwenye bata ila Lan Cruiser, Jeep Grand, Nissan Patrol and the co utazikuta zipo site dunia kote sio Tz tu

Kila gari ina matumizi yake
 
Kwa reliability land cruiser inaongoza ikifuatiwa kwa mbali na Mercedes Benz g wagon, kwa luxury kati ya hizo ulizozitaja ni range rover cellar ndio version bora zaidi ya range rover kiujumla kwenye luxury, ushahidi ninao njoo na hoja
Hujakutana na RR zile SV Autobiography, Velar hata kwa vogue haifikii , SV Autobiography ile ni pepo...
 
Umasikini wetu wa Nchi masikini na fikra za kimasikini tu Mkuu juzi nipo Four ways pana mzungu alikua anavuta tela juu kapakia Trekta MF 165 nikasema hapa wale ndugu zangu wa magari wakiona hii sijui watasemaje..
 
W
Web yangu pendwa kwa review ya magari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…