Unaongea lugha ya mtu asiyefahamu magari...Mbona baya hivyo? Yaani hata halivutii kabisa, wangebadili muonekano uwe tofauti na rangerover
Sawa, niache na lugha yanguUnaongea lugha ya mtu asiyefahamu magari...
Ipo vizuri.. hawajakoseaBaada ya kudumu na kutawala soko la SUV, hatimaye Range Rover wameleta mtambo mpya, sedan. Kitu ambacho hawajawahi kukifanya tangu walipoanza kuzalisha matoleo yao.
View attachment 1627283View attachment 1627284
RRONDO , Mshana Jr, hii ni habari njema Sana kwenu
wameamua kuiweka nini sokoni? concept au gari?Kila kitu kinaanza na concept, Sasa wameamua kuiweka sokoni