Range Rover wavunja mwiko, wafikiria kutoa Sedan

Range Rover wavunja mwiko, wafikiria kutoa Sedan

Baada ya kudumu na kutawala soko la SUV, hatimaye Range Rover wameleta mtambo mpya, sedan. Kitu ambacho hawajawahi kukifanya tangu walipoanza kuzalisha matoleo yao.

View attachment 1627283View attachment 1627284
RRONDO , Mshana Jr, hii ni habari njema Sana kwenu
Ipo vizuri.. hawajakosea
Although sidhan kama ni Official Announced kama ipo sokoni..

Pia naona wameingia ktk Rivalry na wakongwe Rolls Royce, Bentely and Maybach

So far sijajua performance yake.. ila kimuonekano Tunaitia ktk zile HEAVY Powerful cars wakina DODGE DEMON..
 
Back
Top Bottom