Babu kashindwa kucheza na html codeTumsamehe Bure BAbu M,ni uzee ndo unamsumbua
mbona haionekani
mbona kqpiga pozi la bajaji kwenye Range?
king kong asante,,duh hapa mawingu watakufa kwa presha
Mkuu inakimbia hiyoooo!!huwezi amini hata hapa jf imepita nduki!!!