Range rover ya Lady Jaydee

Range rover ya Lady Jaydee

lady2.jpg
 
Hongera bidada kifaa cha ukweli.kuna wa2 watakuja mda c mrefu waseme gari la 200m au 300m
 
Namkubali sana Jide anafight kiukweli kabisa!!!!

Hebu niambieni projects zake zaid ya Music na Lounge
 
...hizo makitu tamu sana asikwambie mtu...
 
Mkuu inakimbia hiyoooo!!huwezi amini hata hapa jf imepita nduki!!!

Imepita na speed ya 180 hakuna mtu aliyeiona.
:focus:
Diamond inabidi aachane na Ma-Toyota watu wenye hela wanatembelea magari ya maana achana na V8 fanya kama JIDE unavuta RR then Escalade then Lincoln Navigator then tunaenda hadi Maybach au Aston Martin.
 
Back
Top Bottom