Range Rover ya Wema yakamatwa tena

Ok..Ntakuwa nimechanganya na alizo vaa ndani




enzi hizi wemer asingempenda dai haahahahaha na hawwa madem sijui hata dai akiwaona anawapa hi kweli maake sahizi kawa matawi ya juu au huyu ni wema?
 
Hai sio TRA, hao ni wamachinga walikuwa wanamuuzia kokoto kwa ajili ya jumba lake jipya analojenga Mbezi beach. Yaani hamuoni kokoto hapo pembeni?
 
Waliomtuma kutukana watu wenye umri sawa na marehemu Baba yake wakamsaidie sasa!

Mama ongea na mwanao!
 
Ama kweli tasliti hushinda beluwa!

Ipo siku atatamani kuhamia mushtara.
 
Sudybrown amesema amedakwa na Kina Zakayo aka Watoza Ushuru na kuanza kumuanzishia Akapiga wimbo wa Zogo Huyo akapiga wimbo wa tundra mama kijacho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…