Range Rover ya Wema yakamatwa tena

Range Rover ya Wema yakamatwa tena

jana nikiwa katika pitapita zangu maeneo ya afrikana mbezi beach nikakuta wema amesimamishwa na maofisa wa TRA na polisi wenye mitutu wakaikagua iyo gari na kisha wakaondoka nayo wakiwemo hao maaskari....gari iyo ilikua na namba zinazosomeka: AEK 101 MPView attachment 319533


Ila madam ana kashepu fulani ,,,,,,,,,,,hatareee
 
Kama ni kweli mjamzito, kwa nini ajibane hivo hilo tumbo apewe elimu ya kulea ujauzito jamani , naona bado anaendekeza usemi wa marafiki zake ye bado mdogo, asije ua kiumbe bure.
 
735d7d7020d79421279995a7c17b909c.jpg
 
Back
Top Bottom