Rangi gani nzuri kupaka nje ya nyumba?

Rangi gani nzuri kupaka nje ya nyumba?

Inaweza kumaliza nyumba standard ya room 5
Mkuu unauzungumziaje ujenzi wa kujengea Conimix?(sina uhakika na spell) ila ni ile ukuta unakuwa kama umepigwa chipping ila ya kisasa.

Nimeipenda sana hii style vipi ulishawahi kusikia malalamiko yoyote kwa waliowahi kuitumia?nimeambatanisha picha chini
IMG_20230413_174013.jpg
 
Back
Top Bottom