Rangi nizipendazo za nguo za ndani ambazo mwanamke akivaa huwa napata mzuka sana hasa tukiwa faragha

Rangi nizipendazo za nguo za ndani ambazo mwanamke akivaa huwa napata mzuka sana hasa tukiwa faragha

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Rangi za mavazi (haswa za ndani) huwa zinaleta msisimko wa mapenzi, na kuna rangi zingine ukiziona zinakata ladha.

Rangi Kama:

(1) Nyeupe, mwanamke akija na rangi ya namna hii NALIA NGWENA huwa nasuuzika sana moyo wangu haswa na ile tabia yangu ambayo naipenda yakumvua Mimi mwenyewe(nguo ya ndani) tunapokua faragha.

(2)Rangi ya pink, hapa huwa naburudika sana mwanamke akinivalia tyti ama chupi ya rangi hii, hakika hata udenda ama tee huwa unanidondoka moyo wangu unasuuzika unakua wa baridiii swafi kabisa.

Tell us your favorite colors!!
Screenshot_20230425-212334.jpg
Screenshot_20230425-212125.jpg


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mimi pia nimekuwa mdau wa kuvutiwa na rangi hizo hizo, ingawa huvutiwa zaidi akiongeza na kacheni kidogo au walau shanga tatu kiunoni alafu walau zipande juu kidogo ziwe zinaonekana onekana on her waist 🙈🏃🏃🏃
 
Back
Top Bottom