Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 9,679
- 39,087
Hii baada muda kdg inageuka bkn bila kupenda [emoji23]
Vina muda basii. Mimi hizo hata zikiwa mpya nikiovaa lazima iwe bikini. Ila uzuri wake ka bikini kanakaa vizuri kamba haiingii kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii baada muda kdg inageuka bkn bila kupenda [emoji23]
[emoji39][emoji39][emoji39] wanaume tuliumbwa na tamaaNdio ndio.
Shape itachangia piaNyeusi is perfect.
Umpate mtoto rangi ya mtume halafu chupi nyeusi huwa napenda sana[emoji23]Sisi tunaovaa nyeusi njano na kijani tukupite mbali sio?
HannahSisi tunaovaa nyeusi njano na kijani tukupite mbali sio?
Shape haichangii labda rangi. Sana sana kama ni ya mtume from dubaiShape itachangia pia
Dah! Wewe ni mwananchi kweli!!Rangi za mavazi (haswa za ndani ) huwa zinaleta msisimko wa mapenzi, na Kuna langi zingine ukiziona zinakata Radha.
Rangi Kama:
(1) Nyeupe, mwanamke akija na rangi ya namna hii NALIA NGWENA huwa nasuuzika sana moyo wangu haswa na ile tabia yangu ambayo naipenda yakumvua Mimi mwenyewe(nguo ya ndani) tunapokua faragha.
(2)Rangi ya pink, hapa huwa naburudika sana mwanamke akinivalia tyti ama chupi ya rangi hii, hakika hata udenda ama tee huwa unanidondoka moyo wangu unasuuzika unakua wa baridiii swafi kabisa.
Tell us your favorite colors!!View attachment 2599726View attachment 2599727
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Dada angu Unavaa Chupi Nyeusi kwani we Mchawi au Unaificha Nini?
Unavaa Chupi Ya Njano Kama School Bus
Unavaa chupi ya Green Umekuwa Bibi Afya au Tour Guide Au Unapenda Kuona Mazingira yanatunzwa.Yaani Hannah We Hata Kwangu Pita Mbali Kabisa[emoji23]
Umpate mtoto rangi ya mtume halafu chupi nyeusi huwa napenda sana[emoji23]
Hannah
Rangi nyeusi pia huwaga ni nzuri ukikutana na mrembo mweupe, alafu awe na kale vijana wanaita flat tummy na kitako cha kichokozi 🙊🏃🏃🏃🏃Even me napenda black colour ila kwa nyie wakike black sio rafiki kwa wengi
sista unaondoka na moyo wangu jamani😂View attachment 2599761
Ndio napita mbali na wewe mkuu.
Hakika zinavutia ila isiwe blocked sana ioneshe yaliyomoRangi nyeusi pia huwaga ni nzuri ukikutana na mrembo mweupe, alafu awe na kale vijana wanaita flat tummy na kitako cha kichokozi 🙊🏃🏃🏃🏃