NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Na ajira za WalimuAcha tu serikali iendelee kukataza bangi.
kwanini mkuu[emoji51]Na ajira za Walimu
Nyeusi umekuwa Mganga wa kienyeji unataka usitofautiane na hirizi?Sisi tunaovaa nyeusi njano na kijani tukupite mbali sio?
Kuna watu wanavaa shanga πMimi pia nimekuwa mdau wa kuvutiwa na rangi hizo hizo, ingawa huvutiwa zaidi akiongeza na kacheni kidogo au walau shanga tatu kiunoni alafu walau zipande juu kidogo ziwe zinaonekana onekana on her waist ππππ
Da ting I likeKuna watu wanavaa shanga [emoji2]
Black inatakiwa iwe na vichekecheke fulan na tumaua sio inakua full black kama kaniki ya mtaalamBlack issa color ππ
Nyeusi umekuwa Mganga wa kienyeji unataka usitofautiane na hirizi?
Mi napenda everything black πππBlack inatakiwa iwe na vichekecheke fulan na tumaua sio inakua full black kama kaniki ya mtaalam
Ndiyo mkuu, hujawahi kutumia?Kuna watu wanavaa shanga π
Kifungashio Cha papuchi [emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 2599737
Kwani ina shida gani jamani. Mbona pambe tu