Rangi nizipendazo za nguo za ndani ambazo mwanamke akivaa huwa napata mzuka sana hasa tukiwa faragha

Rangi nizipendazo za nguo za ndani ambazo mwanamke akivaa huwa napata mzuka sana hasa tukiwa faragha

Mimi pia nimekuwa mdau wa kuvutiwa na rangi hizo hizo, ingawa huvutiwa zaidi akiongeza na kacheni kidogo au walau shanga tatu kiunoni alafu walau zipande juu kidogo ziwe zinaonekana onekana on her waist [emoji85][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji91][emoji91]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tunakumisss romaaaa ututeeeeeee.....Yani wimbo wenyewe wakuwatetea ndo kama hawa wawaza vyupi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Roma kazi anayo
 
[emoji91][emoji91]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Useme tu Wadada/Wanawake wa miaka hii wengi sio watundu kama wa miaka yetu, labda kwa kuwa wengi hawahudhurii mafunzo ya unyagoni.

Manake hata hizo rangi za chupi za kuvaa zinaendana na matukio, huwezi kumvalia mumeo rangi nyeupe wakati anajua yupo kupokea mshahara wa mwezi 🙊🏃🏃🏃🏃
 
Useme tu Wadada/Wanawake wa miaka hii wengi sio watundu kama wa miaka yetu, labda kwa kuwa wengi hawahudhurii mafunzo ya unyagoni.

Manake hata hizo rangi za chupi za kuvaa zinaendana na matukio, huwezi kumvalia mumeo rangi nyeupe wakati anajua yupo kupokea mshahara wa mwezi [emoji87][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hahahaha, viuno vya kimakonde.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Rangi za mavazi (haswa za ndani) huwa zinaleta msisimko wa mapenzi, na kuna rangi zingine ukiziona zinakata ladha.

Rangi Kama:

(1) Nyeupe, mwanamke akija na rangi ya namna hii NALIA NGWENA huwa nasuuzika sana moyo wangu haswa na ile tabia yangu ambayo naipenda yakumvua Mimi mwenyewe(nguo ya ndani) tunapokua faragha.

(2)Rangi ya pink, hapa huwa naburudika sana mwanamke akinivalia tyti ama chupi ya rangi hii, hakika hata udenda ama tee huwa unanidondoka moyo wangu unasuuzika unakua wa baridiii swafi kabisa.

Tell us your favorite colors!!View attachment 2599726View attachment 2599727

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Attachments

  • JamiiForums1325020449.jpeg
    JamiiForums1325020449.jpeg
    43.5 KB · Views: 12
Back
Top Bottom