Rangi nizipendazo za nguo za ndani ambazo mwanamke akivaa huwa napata mzuka sana hasa tukiwa faragha

Mkorofi wewe [emoji16]
 
Kuna kitu ilikua inaitwa underskirt kabla ya skin tight hazijaingia. Aisee kale kaguo mwanamke akikavaa na khanga iliyo rojoka juu.
Halafu anatoka kuoga hajajifuta vizuri. Uuuuwihhh.
Hapo hujagusa pombe hata tone Ila umepata kikombe Cha kahawa ya kusagwa kienyeji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…