Rangi nyeupe kwenye jezi nyeusi ya Yanga imekaaje?

Rangi nyeupe kwenye jezi nyeusi ya Yanga imekaaje?

Jezi namba 3 inaweza ikawa rangi yoyote...
 
Hii nyeusi ni kwa ajili sisi tulio kinyume na CCM
 
Sikia yanga ni katawi kadogo cha Simba kama huelewi...manara ni Simba damu,damu,GSM ni Simba damu,damu ,hersi ni Simba...wameanza na rangi nyeupe,watamalizia na rangi nyekundu na blue...tulia
Screenshot_20240728-234908.jpg
 
Kasikilize interview ya Sheria Ngowi Youtube alihojiwa Azam tv na crown fm kaelezea kila kitu
 
Kuna ile rangi mama
Ambayo ni kijani na njano
Hizo zikiwepo 3rd kit hata ikiwa ya zambarau fresh
Mbona madrid wana Orange! Washajuaga na ile lavender
 
Rangi haichezi boli, ni maamuzi tu ya klabu kutumia rangi nyeupe wala haina mbambamba!! Tena tarehe 8 itumike kuua makolo!!
 
Back
Top Bottom