Sikia yanga ni katawi kadogo cha Simba kama huelewi...manara ni Simba damu,damu,GSM ni Simba damu,damu ,hersi ni Simba...wameanza na rangi nyeupe,watamalizia na rangi nyekundu na blue...tulia
Mimi sio shabiki wa mpira ila baada ya kuona hii mada nikaenda kwenye nembo, naona rangi nyeupe ipo.
Kwenye mpira kuna rangi nyeusi na nyeupe. View attachment 3057729