Rangi nzuri ya kupaka sebuleni

Wakuu habari za uzima?

Wataalamu na mafundi naomba kuuliza ni rangi gani nzuri ya kupaka ndani, haswa sebule?

Kuna ulazima rangi iwe ya aina moja sebuleni na sehemu ya kula chakula?

conductor
Na wengine wenye ujuzi.

Karibuni.
Grey is the new cream, mi ningeenda na hiyo na ukichanganya na nyeupe inakua unyama zaidi
 
Paka ile ya club ya wananchi baadae utakuja kunishukuru
Wakuu habari za uzima?

Wataalamu na mafundi naomba kuuliza ni rangi gani nzuri ya kupaka ndani, haswa sebule?

Kuna ulazima rangi iwe ya aina moja sebuleni na sehemu ya kula chakula?

conductor
Na wengine wenye ujuzi.

Karibuni.
 
Shukrani sana mkuu wangu.

kuna baadhi ya rangi umeainisha hapa mama mtu ndio Ali suggest pia baadhi zake.

Shukrani sana.
 
Full white inaoendeza sana ndani na inaruhusu/kukubaliana na mapambo ya kila namna ina mvuto wa kipekee
Nunua au paka rangi ya Silk mtoto akichafua unafuta na kitambaa inakua mpyaaa
Shukrani mkuu.
 
Hii rangi inafanya sebule yako iwena giza maana naona hata taa unazo chache...

Ubaya mwingine wa rangi zilizo bold zinafanya space ionekane ndogo...
Taa zipo mkuu.
Kuna taa nne ila ni color
Lakini zipo nyeupe mbili.
Hiyo rangi ya gold naona inafanya sebule ionekane dark.

shukrani sana mkuu.
 
Very noisy[emoji119]

Light grey
Wild lilac
Blue ice
Creamor
Cream
Off white
Ivory
Broken white

Hizi zinakuruhusu kupangilia furniture zako vizuri na hazichagui sana Decor
Unaweza Tumia either Silver or Gold decors
Wild lilac ndio nimepata iko poa sana hii rangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ