RANGI utafsiriwa katika Sura mbili
1. Mteja anapenda RANGI ipi (blind colour) hapo ndo mtaalam uanzia hapo kufanya chemistry.
2.Je RANGI kitaalam inakidhi matumiz gani na WAPI.(,technical advise).
Tuanze na namba 1...
Mwanamke ni bora Sana katika kuchagua RANGI kuliko mwanaume (nature yao inajua matching kuliko wanaume). Hiyo nenda popote utaambiwa hivyo, kwasabab hizo mpe mama nafasi ya kupendekeza RANGI..utapunguziwa lawama za umekosea .
Twende number 2.
a). RANGI zinapatikana kwenye ujazo tofauti kutegemea na nchi (gallon), inaanzia litre 1- -20 huko, hizi unazikuta madukani tayari na kuna Aina nyingi Sana za rangi. na katika makundi ya RANGI ipi ya maji na ipi ya mafuta.
Ukiwa na maana ukipata ya maji hii inanyonya uchafu na huwezi kuiosha..hivyo ukiipaka sehemu zenye unyevunyevu haitadumu Sana ...
Na ya mafuta unaweza paka na ikichafuka unaosha kwa MAJI na kuwa mpya..pia ni nzur maeneo mengii.
Na RANGI kundi kingine ni Ile wewe unakwenda kiwandani unaomba wakuchanganyie utakavyo "(customerzed paint)..pia RANGI kadri zinavyokua bora na bei inabadirika, ...
Twende kwenye Ombi lako, kwa kurudiqa 1&2 hapo juu, na ukijua mazingira na matumiz ya nyumba yako,. Pia jua kuna RANGI zinafaa aina ya khali ya hewa pia mikoa ya joto na barid lazma ujue . Au Aina ya udongo , mfano Kigoma nyumba nje kupaka RANGI NYEUPE na mvua zile na udongo mwekundu ,itachoka na
kuonekana chafu mapema Sana, au dar RANGI nyeusi ni tatizo (GOOD CONDUCTOR).mimi Nina alerg na RANGI nyekundu,kijani na njano na blue...Ila broken white ya KIBOKO, Brocken white, NYEUPE na kijivu saf Sana kwangu.