Rangi ya kichwa cha uume ni cheupe kama mzungu

Rangi ya kichwa cha uume ni cheupe kama mzungu

Thebony

Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
92
Reaction score
2
Habari Dr

Kuna kijana sehemu ya kichwa cha uume wake una rangi kama ngozi ya mzugu ni ya siku nyingi ila hasikii maumivu ya aina yoyote.

Je, tatizo ni nini kwa mwanaume kuwa na kichwa cha uume tofauti na wengine?
 
Kuna kijana sehemu ya kchwa cha uume wake una rangi kama ngozi ya mzugu ni ya siku nyingi ila
hasikii maumivu ya aina yoyote.

Je tatizo ni nini kwa mwanaume kuwa na kichwa cha uume na wengine?
 
kuna kijana sehemu ya kchwa cha uume wake una
rangi kama ngoz ya mzugu ni ya sku nyng ila
haskii maumivu ya aina yoyote. je tatzo ni nin kwa
mwanaume kuwa nakchwa cha uume tofaut na
wengne???
Thebony umeyajuaje maungo ya uzazi ya kijana mwenzio mpaka kutosikia maumivu?
 
kuna kijana sehemu ya kchwa cha uume wake una
rangi kama ngoz ya mzugu ni ya sku nyng ila
haskii maumivu ya aina yoyote. je tatzo ni nin kwa
mwanaume kuwa nakchwa cha uume tofaut na
wengne???

Huyo Kijana Amekuonyesha wewe uume wake Kwa biashara gani?
We Daktari?

Km huyo Kijana hana maumivu au muwasho yyt hio ni Hali ya Kawaida. Na wanamme wengi tu yanawatokea hayo.
Ni mabadiliko ya White blood cells na hayana Athari yyt. Na pia nadhani atakuwa ametahiriwa. Km bado mwambie afanye kutahiriwa Haraka.
Magovi yanaleta maradhi mengi ya Uume.

Km una maswali ya ziada Uliza.
 
ok jaman mficha maradhi. .... ok yey ametahiliwa so ndo hvyo na je kuna dawa au ??
 
ok jaman mficha maradhi. .... ok yey ametahiliwa so ndo hvyo na je kuna dawa au ??

Huwezi kuomba dawa Bila Maradhi.
Kubadilika Kwa tabia ya white blood cells kunasababisha baadhi ya Sehemu za mwili kubadilika Rangi, na hilo sio jambo geni.

Huyo kijana wako mwambie HANA MARADHI.
Anachotakiwa ni Kula vyakula vyenye Bioflavenoids kwa wingi Kuboresha imune System yake ktk mwili.

Mwambie pia atumie Vitamins B and C. Hizo pia zinasaidia Kuboresha White blood Cells ktk Mwili.
 
habar dr

kuna kijana sehemu ya kchwa cha uume wake una rangi kama ngoz ya mzugu ni ya sku nyng ila haskii maumivu ya aina yoyote. je tatzo ni nin kwa mwanaume kuwa nakchwa cha uume tofaut na wengne???

Kuna kijana, au ni wewe?:wink::wink::wink::wink::wink:
 
atakua walikosea kumtahiri mara ya kwanza waliporudia mara ya pili ndio hutokea hivyo
 
hata mimi pia nina kaka yangu pia yuko ivo ivo..

nahisi ni maumbile tu ya baadhi yamtu na mtu...
 
huo ni ugonjwa na hauna dawa,pia unakuaga kwenye vidole au baadhi ya sehemu za mwili mgongon n.k
Madhara yake bado hayajulikana sana hufanya mwili kua na mabaka mabaka tu
 
Ebu tumjibu kadili ya hitaji lake...utamlazimishaje kusema ni yeye wakt si yeye mwenye hilo tatizo??...Kuna jamaa yangu tukiwa shule alikuaga na hilo tatzo na alinambia alikua anapata matibabu...sasa sijajua undani wa hilo tatizo...Mwambie jamaa ako aende hospitali kwa ufafanuzi zaidi.
 
Back
Top Bottom