Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata mimi pia nina kaka yangu pia yuko ivo ivo..
nahisi ni maumbile tu ya baadhi yamtu na mtu...
Mwambia ampigie kura LOWASSA
Huwezi kuomba dawa Bila Maradhi.
Kubadilika Kwa tabia ya white blood cells kunasababisha baadhi ya Sehemu za mwili kubadilika Rangi, na hilo sio jambo geni.
Huyo kijana wako mwambie HANA MARADHI.
Anachotakiwa ni Kula vyakula vyenye Bioflavenoids kwa wingi Kuboresha imune System yake ktk mwili.
Mwambie pia atumie Vitamins B and C. Hizo pia zinasaidia Kuboresha White blood Cells ktk Mwili.