Rangi ya mkojo wako inasema nini kuhusu afya yako?

Nimesoma post mpaka mwisho sijaoona image/photo/picture zinazoonesha rangi za mkojo.
 
mkuu naomba kuuliza. Wakati wa baridi sometimes naweza nsinywe maji na mkojo ukatoka mweupe peeh! so hapo kitaalam inakuaje? akati siku za joto nsipokunywa maji mkojo unatoka wa njano

Ipo hv biologically mwili is an automatic machine, so wakat wa joto unaweza experience rangi ya mkojo kuwa wa njano sn, ni kwamba mwili unazuia maj ya sipungue mwilini, so sometyms haimaanish huna maj, ukiona rangi hyo, ila wakat wa barid unakuwa mweupee Kutokana Na hyo weather
 
habari mm nilipimwa nikakutwa nina uti 500 na mkojo nikaambiwa una damu lakini nimetumia dawa uti imesha ila bado nikipima nambiwa una damu kidgo nikaulizia kwa dr kaniambia kama umesha tumia dawa endelea kunywa maji na nimekuwa nikifanya hivyo na mkojo wangu ni mweupe lakini naambiwa kuna damu kidogo endea kunywa maji
 
Hivi mkuu inakuwaga vipi mtu unameza vidonge afu ukienda kukojoa mkojo una harufu ya vidonge ?
 
figo ina uhusiano wa karibu na damu na maji dawa zikishasagwa pia zinafika kwrnye ini kwa hatua nyingine sikiwa katika small particle

Mkuu figo haisagi dawa bali huchuja maji yaliozidi mwilini na huyatoa nje kama mkojo
 


JE WAJUWA KUWA RANGI YA MKOJO WAKO INA MAANA GANI?

1. Mweupe kabisa (Usio na Rangi):
Unakunywa maji mengi kupita kiasi. Ikiwezekana unashauriwa upunguze kidogo

2. Manjano iliyochanganyika na Kijani kidogo: Ni kawaida, una afya na Mwili wako una maji ya kutosha.

3. Manjano iliyo pauka:
Upo kawaida tu. Endelea kunywa maji ya kutosha

4. Njano iliyo kolea:
Upo kawaida lakini unashauriwa kunywa maji ya kutosha.

5. Njano inayokaribia kufanana na Kahawia au Rangi kama ya Asali:
Mwili wako hauna maji ya kutosha. Kunywa maji kwa wingi sasa.

6. Rangi ya Kahawia:
Huwenda una Matatizo kwenye Ini lako au Upungufu mkubwa wa Maji mwilini. Kunywa maji ya kutosha na umwone daktari kamali hii ikiendelea.

7. Rangi ya Pinki inayokaribia kuwa kama Nyekundu:
Kama hujala matunda yoyote nyenye asili ya uwekundu, basi huwenda una Damu kwenye kibofu chako cha mkojo. Inaweza ikawa sio ishara mbaya. Lakini inaweza ikawa ishara ya ugojwa wa Figo, uvimbe, matatizo kwenye njia ya mkojo, au matatizo kwenye kibofu. Muone daktari haraka iwezekanavyo.

Ukiwa na Shida yoyote ile
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr.MziziMkavua Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905552016614 au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…