Carbondioxide
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 733
- 195
Nimesoma post mpaka mwisho sijaoona image/photo/picture zinazoonesha rangi za mkojo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesoma post mpaka mwisho sijaoona image/photo/picture zinazoonesha rangi za mkojo.
vip ukimeza dawa na mkojo ukibadilika rang?
Mkojo kutoa harufu kali
Hivi mkuu inakuwaga vipi mtu unameza vidonge afu ukienda kukojoa mkojo una harufu ya vidonge ?
ni nguvu ya dawa kwani dawa husagwa kwenye figo kisha husambazwa kwa njia ya maji mwilini
ni nguvu ya dawa kwani dawa husagwa kwenye figo kisha husambazwa kwa njia ya maji mwilini
ni nguvu ya dawa kwani dawa husagwa kwenye figo kisha husambazwa kwa njia ya maji mwilini
Hee! Kivip figo zinasaga dawa
figo ina uhusiano wa karibu na damu na maji dawa zikishasagwa pia zinafika kwrnye ini kwa hatua nyingine sikiwa katika small particle