Rangi ya mtoto!

God Baba

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2013
Posts
424
Reaction score
175
Naomba kufahamishwa kisayansi, huwa inatokeaje mtoto kuzaliwa mweupe wakati wazazi wake wote ni weusi? Au mtoto kuzaliwa mweusi wakati wazazi wote ni weupe? Na vipi kuhusu ALBINO? UFAHAMU WENU TAFADHARI!
 
Urithi wa rangi si lazima utoke kwa baba au mama, inawezekana ukatoka kwa babu au bibi hata kizazi cha tano.

Watoto wa Barack Obama wanaweza kuzaa mtoto mweupe sana hata wakiolewa na mtu mweusi kwa kufuata weupe wa bibi yao mzaa baba aliyekuwa mzungu.

Kwa uhakika zaidi DNA test inahusika.
 
I have got ua point! Vipi kuhusu Albinism?
 
Unazungumzia weupe upi hapa?

Ule wa Kizungu au huu wa Kiafrika(ngozi angavu)?
 
Kikwetu kwetu ukiwa mweusi, na mkeo mweusi, mukizaa mtoto mweupe, aaaaaa umeshaibiwa!

ha ha ha
Alibnism inarithiwa pande moja ama nyingine,
Binafsi nna kaka kaoa mke mweusi kama yeye lakini wamezaa albino, Hii ni kwa sababu Upande wa mke wake kuna watoto ambao alizaliwa nao ambao ni alibino.
 

Je rangi hizo zinaweza kutokea kutokana na madhara ya dawa au vyakula ambazo mjamzito alikuwa anatumia? Whether ni za kienyeji au za kisasa?
 
ha ha ha
Alibnism inarithiwa pande moja ama nyingine,
Binafsi nna kaka kaoa mke mweusi kama yeye lakini wamezaa albino, Hii ni kwa sababu Upande wa mke wake kuna watoto ambao alizaliwa nao ambao ni alibino.

Na jamii zetu mwanamke akizaa albino wanatengwa hii uwa ina niuma kuona mwanamke kazaa albino afu dungu wanaongea sanaa
Kumbe ni mambo tu yakurithi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…